Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Nipe nikupe, ngono kwa kitoweo, kulikoni?

Nipe nikupe, ngono kwa kitoweo, kulikoni?

Pakua

Ukosefu wa usawa wa jinsia, ugumu wa kupata huduma na umaskini vinaripotiwa kuchochea kiwango kikubwa cha mimba za utotoni na na virusi vya Ukimwi VVU huko Homa Bay nchini Kenya. Taarifa hizo ni kwa mujibu wa ripoti mpya iliyoandaliwa na serikali ya kaunti ya Homa Bay kwa kushirikiana na wadau wake kupitia msaada wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF

Audio Credit
Flora Nducha- Grace Kaneiya
Audio Duration
3'2"
Photo Credit
FAO/Munir Uz Zuman