Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkimbizi Mahasin licha ya kuwa ukimbizini anachangia katika kuboresha maisha ya wakimbizi kambini Atma

Mkimbizi Mahasin licha ya kuwa ukimbizini anachangia katika kuboresha maisha ya wakimbizi kambini Atma

Pakua

 Kutana na mkimbizi kutoka Syria ambaye sasa anaishi kwenye kambi ya wakimbizi wa ndani ya Atma iliyoko karibu na mpaka wa Uturuki. Pamoja na madhila yote aliyopitia anapata faraja anapoweza kubadili maisha japo ya mkimbizi mmoja kwa ushauri nasaha anaotoa kwa maelfu ya wakimbizi kambini hapo

Audio Credit
Flora Nducha- Jason Nyakundi
Audio Duration
2'8"
Photo Credit
WFP/Fadi Halabi