Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

NI muhumi matarajio na haki za watu wenye ulemavu zijumuishwe-Guterres

NI muhumi matarajio na haki za watu wenye ulemavu zijumuishwe-Guterres

Pakua

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya watu wenye ulemavu Katibu Mkuu wa umoja wa Mataifa amesema wakati dunia ikijikwamua kutoka kwenye janga la COVID-19 ni lazima kuhakikisha kwamba matarajio na haki za watu wenye ulemavu zinajumuishwa na hilo litatimia tu endapo watu hao watashirikishwa na kuwakilishwa ipasavyo. 

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
1'55"
Photo Credit
UNICEF/Herwig