Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Nimebahatika kuwa na dawa wakati huu wa COVID-19 lakini hali ni tofauti kwa wengine wengi wenye VVU-Msichana Moraa

Nimebahatika kuwa na dawa wakati huu wa COVID-19 lakini hali ni tofauti kwa wengine wengi wenye VVU-Msichana Moraa

Pakua

"Nimeishi na Virusi Vya Ukimwi tangu mwaka 1992 nilipozaliwa na nimeishi na virusi hivyo maisha yangu yote." Hiyo ni kauli ya Doreen Moraa Moracha, msichana kutoka Kenya ambaye anaishi na VVU kwa miaka 28 sasa.

Audio Credit
Flora Nducha- Doreen Moraa
Audio Duration
2'
Photo Credit
Public Health Alliance/Ukraine