Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Apu mpya ya simu yarahisisha uwasilishaji wa taarifa za ukatili wa kijinsia Tanzania

Apu mpya ya simu yarahisisha uwasilishaji wa taarifa za ukatili wa kijinsia Tanzania

Pakua

Tanzania shirika la kiraia linalohusika na masuala ya msaada wa sheria na maendeleo kwa wanawake, WiLDAF kwa kushirikiana na kampuni ya teknolojia, Dephics wametengeneza programu tumishi iitwayo GBV Taarifa inayowezesha mtu kutoa taarifa za ukatili wa kijinsia kupitia simu ya kiganjani.  

Audio Credit
Flora Nducha- Ahimidiwe Olotu
Sauti
2'57"
Photo Credit
UN News/Elizabeth Scaffidi