Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la Wiki-Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni

Neno la Wiki-Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni

Pakua

Leo katika mashinani Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la ZANZIBAR, BAKIZA, Dkt.MWanahija Ali Juma anafafanua maana ya methali,  "UKISTAAJABU YA MUSA UTAYAONA YA FIRAUNI".

Audio Credit
Mwanahija Ali Juma
Audio Duration
1'48"
Photo Credit
UN