Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vijana na hatua kupunguza athari za COVID-19 Lebanon

Vijana na hatua kupunguza athari za COVID-19 Lebanon

Pakua

Nchini Lebanon, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF kwa kushirikiana na shirika  la  kiraia  liitwalo  LOST,  linajumuisha  vijana katika kusaidia watu kukabiliana na athari za ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona au COVID-19

Audio Credit
Assumpta Massoi/ Grace Kaneiya
Audio Duration
1'58"
Photo Credit
UN News/Abdelmonem Makki