Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la UN

Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la UN

Pakua

Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York, kwa mwaka 2020/2021.  

Audio Credit
Flora Nducha- Kennedy Gastorn
Audio Duration
1'39"
Photo Credit
UN/maktaba