Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WHO/UNICEF wachukua hatua kulinda watoto dhidi ya polio

WHO/UNICEF wachukua hatua kulinda watoto dhidi ya polio

Pakua

Kampeni kubwa ya chanjo imezinduliwa leo nchini Sudan Kusini na mashirika ya Umoja wa Mataifa la afya duniani WHO na la kuhudumia Watoto UNICEF kwa lengo la kuwachanja watoto milioni 1.5 dhidi ya polio baada ya mlipuko mpya kusababisha kupooza kwa watoto 15.

Audio Credit
Assumpta Massoi/ Flora Nducha
Audio Duration
2'26"
Photo Credit
© UNICEF/Helen Sandbu Ryeng