Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mshona wa kwanza avunja hisoria baada ya kujiunga na chuo kikuu cha Nairobi

Mshona wa kwanza avunja hisoria baada ya kujiunga na chuo kikuu cha Nairobi

Pakua

Nchini Kenya ndoto ya masomo ya elimu ya juu ya Nosizi Reuben ambaye ni mzaliwa wa wazazi wa kabila la washona waliowasili nchini humo kutoka iliyokuwa Rhodesia sasa Zimbabwe miaka ya 1960 sasa imeanza kutimia baada ya kupatiwa cheti cha kuzaliwa.

Audio Credit
Flora Nducha- Ahimidiwe Olotu
Audio Duration
2'18"
Photo Credit
UN News/Grece Kaneiya