Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Asante Umoja wa Mataifa kutushika mkono kupambana na ukeketaji Kenya:Lisiagali

Asante Umoja wa Mataifa kutushika mkono kupambana na ukeketaji Kenya:Lisiagali

Pakua

Tatizo la ukeketaji ni mtambuka linaathiri mamilioni ya wanawake na wasichana kote duniani likiwaacha na amajeraha makubwa yasiyofutika yakiwemo ya kimwili na kisaikolojia. Na sasa Umoja wa Mataifa umelivalia njuga ukizishirikisha nchi, asasi za kiraia na jamii ili kuhakikisha jinamizi hili linatokomezwa. Nchini Kenya shirika lisilo la kiserikali la Healthcare Assistance limekuwa msitari wa mbele kuitikia wito huo wa Umoja wa Mataifa katika vita dhidi ya ukeketaji na limekuwa likifanya kazi kwa karibu na shirika la umoja wa Mataifa la masuala ya wanawake UN Women na lile la idadi ya watu UNFPA. Je wanashirikiana vipi katika vita hivi? tuungane na Assumpta Massoi katika makala ifuatayo.

Audio Credit
Grace Kaneiya/ Assumpta Massoi
Audio Duration
4'57"
Photo Credit
UN Photo.