Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Athari za kimbunga Eta hususan nchini Nicaragua zitasalia kwa muda mrefu-UNICEF

Athari za kimbunga Eta hususan nchini Nicaragua zitasalia kwa muda mrefu-UNICEF

Pakua

Kimbunga Eta kilicholikumba eneo la Amerika ya Kati katika juma zima lililopita sasa kimepita lakini kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF athari zake hususan nchini Nicaragua zitasalia kwa muda mrefu.

Audio Credit
Flora Nducha- Jason Nyakundi
Audio Duration
2'30"
Photo Credit
UNICEF/Tadeo Gómez