Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la wiki-Kisarafu

Neno la wiki-Kisarafu

Pakua

Katika kujifunza kiswahili leo mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili, la taifa Tanzania BAKITA, Onni Sigalla anafafanua maana ya Neno"KISARAFU".

Audio Credit
Onni Sigalla
Audio Duration
59"
Photo Credit
UN