Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Janga la COVID-19 ni aina ya tsunami nyingine

Janga la COVID-19 ni aina ya tsunami nyingine

Pakua

Ikiwa leo ni siku ya uelimishaji kuhusu tsunami duniani Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameitaka dunia kuiba uzoefu wa maandalizi ya majanga kwenye hatua zilizopigwa katika kupunguza vifo vitokanavyo na tsunami.

Audio Credit
Flora Nducha- Jason Nyakundi
Sauti
2'16"
Photo Credit
Ewerthon Tobace