Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Haki za wabunge zinabanwa hususan nchini Venezuela, Côte d’Ivoire na Tanzania-IPU

Haki za wabunge zinabanwa hususan nchini Venezuela, Côte d’Ivoire na Tanzania-IPU

Pakua

Muungano wa kimataifa wa mabunge IPU umesema umepokea madai mapya ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu dhidi ya wabunge wa upinzani katika nchi ambazo zinafanya uchaguzi na umetoa wito wa madai hayo kuchunguzwa haraka na kupatiwa ufumbuzi.

Audio Credit
Flora Nducha- Jason Nyakundi
Audio Duration
2'23"
Photo Credit
Tanzania Parliament Video