Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mipango kabambe ya kufanikisha watoto kwenda shuleni Kenya

Mipango kabambe ya kufanikisha watoto kwenda shuleni Kenya

Pakua

Nchini Kenya, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF kwa kushirikiana na serikali ya Japan, limechukua hatua kuhakikisha wanafunzi wanaorejea shuleni, wanakuwa salama dhidi ya ugonjwa virusi unaosababishwa na virusi vya Corona au COVID-19.

Audio Credit
Flora Nducha- Assumpta Massoi
Audio Duration
2'27"
Photo Credit
UN News/ Jason Nyakundi