Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

27 Oktoba 2020

27 Oktoba 2020

Pakua

Tanzania chonde chonde fanyeni uchaguzi kwa amani, yatoa wito ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa, OHCHR.

Janga la kibinadamu likishika kasi Cabo Delgado, UNICEF yafika na kuchukua hatua. 

Nuru ya amani yaanza kuonekana katika eneo la PK 5 nchini CAR, MINUSCA yashuhudia.

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
12'59"