Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF na harakati za kusaidia wakazi wa Cabo Delgado katika mapambano dhidi ya COVID-19

UNICEF na harakati za kusaidia wakazi wa Cabo Delgado katika mapambano dhidi ya COVID-19

Pakua

Katika jimbo la Cabo Delgado nchini Msumbiji, mafuriko yaliyokumba eneo hilo mwishoni mwa mwaka jana na mashambulizi kutoka kwa watu wenye silaha, vimesababisha hali ya kibinadamu kuwa mbaya zaidi na Umoja wa Mataifa kupitia shirika lake la kuhudumia watoto, UNICEF limechukua hatua kuhakikisha linaepusha majanga zaidi ikiwemo kusambaa kwa ugonjwa wa Corona au COVID-19.

Audio Credit
Flora Nducha- Assumpta Massoi
Audio Duration
2'16"
Photo Credit
© WFP/Falume Bachir