Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Umoja wa Mataifa waungana na dunia kuadhilisha siku ya chakula duniani na wito wa kuwekeza zaidi

Umoja wa Mataifa waungana na dunia kuadhilisha siku ya chakula duniani na wito wa kuwekeza zaidi

Pakua

Leo ni siku ya chakula duniani ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema ushindi wa tuzo ya amani ya Nobel kwa shirika la mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa, WFP ni utambuzi wa haki ya chakula kwa kila mtu na azma ya pamoja ya kutokomeza njaa duniani.

Audio Credit
Assumpta Massoi/ Flora Nducha
Audio Duration
2'26"
Photo Credit
Unsplash/Alex Hudson