Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mradi wa FAO ni hali ya mgeni njoo mwenyeji apone kwa wakazi Tanzania

Mradi wa FAO ni hali ya mgeni njoo mwenyeji apone kwa wakazi Tanzania

Pakua

Leo tuko ni siku ya chakula duniani na pia ni miaka 75 tangu kuanzishwa kwa shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa, FAO. Kauli mbiu  ya mwaka huu nchini Tanzania kwa siku ya chakula duniani ni  Kesho njema inajengwa na lishe bora endelevu!! Huku Kauli ya kimataifa ni Otesha, Kuza, Endeleza kwa Pamoja; Vitendo Vyetu Mustakabali wetu! Je FAO inafanya nini kuhakikisha uhakika wa chakula na lishe bora? Tumebisha hodi nchini Tanzani ambako Devotha Songorwa wa Radio WAshirika Kids Time FM amezungumza na wanufaika wa miradi ya FAO sambamba na afisa mwandamizi wa shirika hilo Tanzania na kuandaa mada hii kwa kina. Kwako Devotha!

Audio Credit
Flora Nducha-Devotha Songorwa
Audio Duration
6'40"
Photo Credit
©FAO/Luis Tato