Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vijana Uganda wakaribisha sheria ya kugombea chini ya umri wa miaka 30.

Vijana Uganda wakaribisha sheria ya kugombea chini ya umri wa miaka 30.

Pakua

Kwa miaka 25 ya katiba ya Jamhuri ya Uganda, vijana walio chini ya umri wa miaka 30 wamekuwa wakisaka fursa ya kukubaliwa kugombea nafasi mbalimbali za kisiasa katika serikali za mitaa kutokana na vizuizi vya sheria za uchaguzi.

Vijana hao wamekuwa wakiona kwamba hali hiyo inawanyima nafasi ya kushika nafasi za  kisiasa na hatimaye kupona ukosefu wa ajira. Hata hivyo mwezi huu wa Oktoba umekuja na marekebisho ambapo bunge limepitisha mswada wa kuondoa kikwazo hicho na kuruhusu vijana kuanzia umri wa miaka 18 kugombea nafasi mbalimbali za kisaiasa.

Je, vijana nchini humo wamepokea vipi habari hizi? Basi ungana na John Kibego makala makala ifuatayo.

Audio Credit
Grace Kaneiya/ John Kibego
Audio Duration
3'46"
Photo Credit
Arne Hoel/World Bank