Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Programu ya WFP itawezesha usambazaji wa chakula maeneo yaliyoathirika na COVID-19

Programu ya WFP itawezesha usambazaji wa chakula maeneo yaliyoathirika na COVID-19

Pakua

Shirika la mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa WFP na serikali ya Nigeria wamezindua programu ya msaada wa chakula na fedha taslimu katika maeneo matatu ya mijini yaani Abuja, Kano na Lagos ambako kote huko ni kitovu cha COVID-19 nchini humo. 

Audio Credit
Flora Nducha- Anold Kayanda
Audio Duration
1'52"