Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kijana mkimbizi kutoka Sudan Kusini atuzwa kwa kusoma habari za Kingereza Uganda

Kijana mkimbizi kutoka Sudan Kusini atuzwa kwa kusoma habari za Kingereza Uganda

Pakua

Licha ya changamoto za ukimbizini hasa wakati huu wa COVID-1, bado kuna mianya ya tabasamu kwa vijana wakimbizi wanojitahidi kushiriki kwenye fursa chache zilizopo.

Nchini Uganda katika mji wa Hoima, kijana mkimbizi, Emmanuel Edema kutoka Sudan Kusini ametuzwa baada ya kuibuka msomaji bora wa habari za lugha ya Kingereza  kwenye mashindano yalioandaliwa na redio washirika Spice FM.

Mkimbizi huyo anayeishi katika kambi ya wakimbizi ya Kyangwali, ameshindana na makumi ya wananchi katika nchi inayojulikana kuwa miongoni mwa nchi zenye sera nzuri zaidi za ujumwishwaji wa wakimbizi katika maendleeo ya jamii duniani.

Je, ni sifa gani? Basi ungana na John Kibego kukujuza zaidi katika makala ifuatayo.

 

Audio Credit
Grace Kaneiya/ John Kibego
Audio Duration
3'42"
Photo Credit
UN News/ John Kibego