Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UN-HABITAT yageukiaa wasio na makazi wakati huu dunia ikikabiliana na COVID-19

UN-HABITAT yageukiaa wasio na makazi wakati huu dunia ikikabiliana na COVID-19

Pakua

Ikiwa leo ni siku ya makazi duniani, kuwa na makazi bora imeelezwa hivi sasa kuliko wakati mwingine wowote ni suala la uhai na kifo hasa janga la corona  au COVID-19 likiendelea kusambaa duniani na watu wakitakiwa kusalia majumbani, lakini hatua hiyo haiwezekani hasa kwa wale ambao hawana wanapopaita nyumbani limesema shirika la Umoja wa Mataifa la makazi UN-HABITAT.

Audio Credit
Flora Nducha- Jason Nyakundi
Sauti
2'37"
Photo Credit
© Julius Mwelu/ UN-Habitat