Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kutoka darasani hadi shambani, mwalimu kutoka Uganda azungumza

Kutoka darasani hadi shambani, mwalimu kutoka Uganda azungumza

Pakua

Leo ikiwa ni siku ya walimu duniani, ambayo mwaka huu inaadhimishwa kukiwa na changamoto kubwa kwa walimu na wanafunzi kufuatia janga la corona au COVID-19, huku Umoja wa Mataifa ukisema takriban wanafunzi bilioni 1.6 ambao ni zaidi ya wanafunzi wote duniani waliojiandikisha shule wameathiriwa na kufungwa kwa shule. 

Audio Credit
Flora Nducha- John Kibego
Audio Duration
2'23"
Photo Credit
FAO