Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la wiki-Guda

Neno la wiki-Guda

Pakua

Katika kujifunza Kiswahili, leo tunapata ufafanuzi wa neno "GUDA" na mchambuzi wetu ni   Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili  la Taifa  nchini Tanzania , BAKITA 

Audio Credit
Onni Sigalla
Audio Duration
49"
Photo Credit
UN