Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

11 Septemba 2020

11 Septemba 2020

Pakua

Jaridani leo ni siku ya Ijumaa na mada ya wiki imebisha hodi Beni Jimboni Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC ambako walinda amani kutoka Tanzania wanatumia ngoma kusongesha amani. Kisha neno la Wiki tunabisha hodi Zanzibar, BAKIZA tukipata ufafanuzi wa msemo Funika Kombe Mwanaharamu Apite!!! Karibu na mwenyeji wako ni Flora Nducha.

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
10'14"