Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

08 Septemba 2020

08 Septemba 2020

Pakua

Watu 100 wapoteza maisha na zaidi ya laki 5 waathirika na mafuriko Sudan. UNHCR kuendeleza huduma licha wadau wake wa kibinadamu kufungiwa Uganda. UNMISS yagawa redio 500 za sola kusaidia watoto kusoma wakati huu wa COVID-19.

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
13'10"