COVID-19 kuwatumbukiza wanawake wengine milioni 47 katika ufukara:UN Women/UNDP. Familia zinazokimbia mashambulizi Msumbiji zajikuta katika maeneo yaliyoghubikwa na COVID-19. IFAD imetuwezesha kujenga nyumba na kulala kwenye vitanda- Mkulima Ethiopia.