Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

18 Agosti 2020

18 Agosti 2020

Pakua
Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo na Flora Nducha
- Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limesema COVID-19 imeingilia na kuathiri huduma za ulinzi wa watoto katika nchi zaidi ya 100
-  Mkimbizi wa Syria asema "Nilichokiona Beirut sitosahau katu"  
-Machafuko yanayoendelea kushika kasi nchini Burkina Faso sasa yamewalazimisha zaidi ya watu milioni moja kufungasha virago na kuzikimbia nyumba zao kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na serikali limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR.
-Na kwenye makala leo  tutamsikia mwanamke muigizaji na mchekeshaji Rose Nyabhate  wa nchini Kenya.

-Na leo mashinani  tutasikia kutoka kwa mkazi wa Beirut akieeleza jinsi maisha yalivyobadilika tangu kutokea kwa mlipuko huo Karibu!

 

 

 

 

 
Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
12'36"