Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

17 AGOSTI 2020

17 AGOSTI 2020

Pakua

Katika Jarida la habari hii leo Flora Nducha anakuletea

-Janga la corona au COVID-19 labadili tabia za wananchi wa Lamu Kenya utamsikia muasisi na mkurugeni wa shirika lisilo la kiserikali la Safari Doctors Umra Omar akifafanua

-Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limesema ni muhimu kuendelea na huduma za msingi ikiwemo chanjo Sudan Kusini ili kukabili COVID-19

-Huko nchini CAR mpango wa Umoja wa Mataifa MINUSCA washirikiana na serikali kulimisha jamii kuhusu COVID-19 kwa kutumia michoro na picha

-Makala yetu leo inatupeleka Uganda kambi ya wakimbizi ya Kiyangwali kwa mkimbizi anayeelimisha wenzie kuhusu COVID-19

-Na mashinani tuko Zimbabwe kuangazia hali ya utapiamlo kwa watoto 

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
11'3"