Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

13 Agosti 2020

13 Agosti 2020

Pakua
Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo na Assumpta Massoi 
-  Ripoti ya WHO na UNICEF yasema Shule zikiwa zinaanza kufunguliwa, bado hakuna huduma za kujisafi kujikinga na COVID-19
 - Ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la kazi duniani ILO imesema athari mbaya za janga la corona au COVID-19 kwa vijana zimeongeza pengo la usawa na kuhatarisha uwezo wa uzalishaji wa kizazi hicho chote katika jamii. 
-   WFP kupeleka unga wa ngano na nafaka nchini Lebanon  

- Na kwenye makala leo tutaelekea mkoani Morogoro nchini Tanzania kusikia mafanikio ya mradi wa lishe bora uliozinduliwa mwaka jana mwezi Agosti na kwa hivyo umetimiza mwaka mmoja sasa.

-Na leo mashinani tutakwenda nchini Uganda ambako shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limeleta nuru katikati ya janga la Corona

 

 

 

 

 

 

 
Audio Credit
Assumpta massoi
Audio Duration
12'40"