28 JULAI 2020

28 Julai 2020
Katika jarida la Umoja wa Mataifa hii leo na Assumpta Massoi 
 
-Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema Janga la COVID-19 linatupa fursa ya kuibadilisha miji yetu.
 
-Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa FAO lasema  Kenya imejitahidi kudhibiti nzige lakini tishio bado lipo Afrika Mashariki
 
-Msitu wa Kafa Ethiopia watunzwa kunufaisha wakulima na wanywaji kahawa
 
-Na leo kwenye Makala tutaelekea nchini Uganda kusikia maisha ya wanafunzi wakimbizi wakati wa COVID-19 nchini Uganda.
 
-Na kwenye  mashinani leo  tuko nchini Kenya kupata kauli ya mchangiaji wa damu kupitia shirika la Idadi ya watu duniani la umoja wa Mataifa  UNFPA Karibu!
Audio Credit:
UN News/Assumpta Massoi
Audio Duration:
12'

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud