Tunahifadhi mazingira huku tukijipatia kipato-Vijana Kibera, Kenya.
Pakua
Kutokana na ukosefu wa ajira kwenye nchini nyingi ni kawaida watu kutafuta na kubuni njia za kukidhi mahitaji yao ya kila siku. Mtaani Kibera mjini Nairobi, vijana wameanzisha kikundi ambacho hivi sasa kinaendelea na mradi ya kukusanya taka na kuzitumia kuunda vifaa mbalimbali kisha kuviuza kupitia mradi ujulikanao kama 'Slum going green and clean', ikiwa pia ni njia ya kusafisha mazingira. Jason Nyakundi amezungumza na kiongozi wa kikundi hicho Brian Nyabut
Audio Credit
Loise Wairimu\Jason Nyakundi
Audio Duration
3'21"