Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

27 JULAI 2020

27 JULAI 2020

Pakua

Kiwango wa watoto wa chini ya miaka mitano wanaougua homa ya ini aina B kilishuka mwaka 2019 hadi chini ya asilimia 1 kutoka asilimia 5 katika miaka 1980 na mwanzoni mwa miaka ya 2000 kwa mujibu wa shirika la afya duniani WHO. Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limewaondolea adha ya maji ya muda mrefu wakazi wa Paida jimboni Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, ambao walilazimika kutembea mwendo mrefu kusaka huduma hiyo muhimu kwa miaka mingi.Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF nchini Kenya linatumia mpango wa michezo kwa maendeleo kusaidia watoto wenye changamoto za kujifunza darasani. 

Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
12'17"