Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

16 July 2020

16 July 2020

Pakua

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo.

- Wakazi Matembo na Ngadi washukuru MONUSCO kwa mradi wa taa za barabarani

- Mradi wa UNICEF na Japan huko Madagascar waleta kicheko kwa watoto

 -Mkimbizi Tekla asema kuwa kinyozi ni talanta yake.

-  Kwenye makala leo  tutakwenda nchini Tanzania kuangazia vitendo vya unyanyasaji wa watoto katika jamii mathalani kuwatumikisha kazi ngumu.

-Na leo kwenye  mashinani tutakuwa nchini Malawi kuangazia kazi ya Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa maendeleo UNDP katika mradi wa ushauri kuhusu mabadiliko ya tabianchi GEF

Audio Credit
Flora Nducha
Sauti
10'44"