Skip to main content

08 JULAI 2020

08 JULAI 2020

Pakua

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea

-Janga la COVID-19 laongeza usafirishaji haramu wa vifaa tiva visivyokidhi viwango au bandia duniani imesema ripoti iliyotolewa leo na ofisi ya Umoja wa Mataifa ya madawa na uhalifu UNODC

-Nchini Sudan Kusini wapiganaji wa makundi mbalimbali walioletwa pamoja ili kujiunga na mafunzo ya kuingia katika jeshi la kitaifa karibu wanahitimu

-Shirikisho la kimataifa la chama cha msalaba mwenkundu ICRC limesema licha ya sehemu zingine kusitisha uhasama kutokana na janga la COVID-19, ukanda wa Sahel ni alutakontinua mapambano bado yanaendelea

-Makala yetu leo inatupeleka Rwanda ambako roboti 5 zilizowasili kusaidia katika vita dhidi ya COVID-19

-Na mashinani tunabisha hodi Uganda kusikia wanaumme walivyobadilika na kuleta amani katika familia zao kwa kuruhusu wanawake kufanya mambo mengi yaliyoyakataza hapo kabla

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Sauti
12'23"