Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Watoto wasithubutu kuolewa wakiwa na umri mdogo, kuna changamoto nyingi-Christina Joseph

Watoto wasithubutu kuolewa wakiwa na umri mdogo, kuna changamoto nyingi-Christina Joseph

Pakua

Uchumi duni katika jami, pamoja na mambo mengine, unatajwa kuwa moja ya chanzo cha ndoa za utotoni ambapo watoto katika umri mdogo wanajikuta wakilazimika kuwa akina mama na kuanza majukumu ya kiutu uzima wakiwa wadogo. Mmoja wa walioingia katika ndoa za utotoni ni Christina, mkazi wa Morogoro Tanzania. Kupitia makala hii iliyoandaliwa na John Kabambala wa redio washirika Kids Time FM, Chritina anaeleza yaliyomsibu na kutoa ushauri kwa wengine.  

Audio Credit
Loise Wairimu/John Kabambala
Audio Duration
2'40"
Photo Credit
Photo: IRIN/Mujahid Safodien