Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

23 JUNI 2020

23 JUNI 2020

Pakua

Ikiwa leo ni siku ya wajane duniani Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametaka kuangaziwa zaidi kwa kundi linalosahaulika mara kwa mara, wajane, hususan wakati huu wa janga la ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19. Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na mkuu wa mpango wa Umoja huo nchini Somalia UNSOM, James Swan amesema msaada uliotolewa na wadau wa kimataifa umeisadia Somalia kuweka kituo kwa ajili ya huduma kwa wagonjwa wa corona au COVID-19. Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, limefikisha tani 88 za misaada ya dharura kwa ajili ya wakimbizi kutoka nje na wakimbizi wa ndani nchini Burkina Faso. 

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
14'9"