Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

18 Juni 2020

18 Juni 2020

Pakua
Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo
-  Ripoti mpya ya mwenendo wa kimataifa wa wakimbizi na watu waliotawanywa duniani ambayo imetolewa leo na UNHCR inasema asilimia moja ya watu wote duniani wamelazimika kufungasha virago na kukimbia makwao
- UNHCR yachukua hatua za ziada kudhibiti kusambaa kwa COVID-19 kambi ya wakimbizi Dadaab
-  MINUSCA na shirika la mpango wa maendeleo la Umoja wa Mataifa, UNDP wamepatia gereza la Ngaragba msaada wa vifaa vya kusaidia kuepusha kuenea kwa ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19
- Na kwenye Makala leo tutaelekea nchini Tanzania kuangazia baadhi ya changamoto za COVID-19 kwa watu wenye ualbino, pamoja na hatua zilizofikiwa kupambana na mauaji ya watu hao
-Na kwenye mashinani tutakwenda  nchini Tanzania ambapo mwanafunzi anaelezea kile afanyacho wakati huu shule  zimefungwa kwa sababu ya janga la Corona
Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
9'56"