Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

17 JUNI 2020

17 JUNI 2020

Pakua

Katika Jarida la Habaroi hii leo kutoka Umoja wa Mataifa Flora Nducha anakuletea

-  Bei ya chajo ya homa ya vichomi au  ‘Numonia’ imeshuka, na kuleta ahueni kwa nchi maskini umesema leo Umoja wa Mataifa

-Ikiwa leo ni siku ya kukabiliana na ongezeko la jangwa na ukame duniani Umoja wa Mataifa umeitaka dunia kuchukua hatua kulinda sayari tunayoishi kwani afya ya binadamu inategemea afya ya sayari hii

-Umoja wa Mataifa na wadau wake wamewasilisha shehena ya tatu ya vifaa vya msaada kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR unaotarajiwa kufanyika Disemba mwaka huu

-Makala yetu leo inatupeleka Kenya kwa kijana mwenye kipaji cha kuchora picha za watu mashuhuri

-Na mashinani utasikia ujumbe kutoka kwa balozi mwema wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR ,akizungumzia COVID-19 na wakimbizi

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
9'58"