Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

11 JUNE 2020

11 JUNE 2020

Pakua
Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo
-   UNHCR yasema Muda unawatupa mkono watu wa Sahel wakati mashambulizi yakishika kasi
-  IMF yasamehe deni la Tanzania la dola milioni 14.3, msamaha zaidi watarajiwa
-  Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tumezingatia ushauri wote wa kitaalam kuwalinda wanafunzi na wafanyakazi

-Na kwenya mashinani  tutakwenda nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC , ambako mfanyakazi wa  UNICEF anaelezea anayoelimisha familia yake jinsi ya kujikinga na maambukizi ya COVID-19 

-Na kwenye makala hii leo tutaelekea nchini Kenya kusikia ubunifu wa mtoto mwenye umri wa miaka 9, katika mapambano dhidi ya COVID-19  

Audio Duration
9'56"