Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

10 JUNE 2020

10 JUNE 2020

Pakua
Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo:
-  Nchini Kenya Wagonjwa wasio na dalili kali za COVID-19 kutibiwa nyumbani
- Wakazi wa Mathare nchini Kenya washukuru UNICEF kwa kuwawekea tenki za maji
- UNICEF yachukua hatua kukabiliana na ukatili wa kingono Sierra Leone
-Na kwenya mashinani tunabisha hodi Nigeria kwa mwanariwanya mashuhuri Chimamanda Adichie Ngozi  nazungumzia jinsi ya kuondoa fikra potofu za wanaume juu a umiliki wa miili ya wanawake
-Na kwenye makala hii leo tuko katika Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma SJMC Dar es Salaam Tanzania kusikia hatua zinazozochukuliwa na wanafunzi kujikinga dhidi ya ugonjwa wa COVID-19.
Audio Duration
13'42"