Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

09 JUNI 2020

09 JUNI 2020

Pakua
Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo
- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema dunia ina chakula cha kutosha kulisha watu wote na ziada lakini cha kusikitisha ni kwamba watu zaidi ya milioni 800 wanakabiliwa na njaa.
-Wakimbizi wa ndani DRC hatarini sababu ya COVID-19, vita na ukata
-Taa za sola badala za koroboi kusaidia kulinda mazingira Ziwa Victoria
-Na kwenya mashinani  tutaenda Sierra Leone, mtoto wa kike akisimulia ukatili wa kingono aliofanyiwa na mwalimu wake.
-Na kwenye makala hii leo tutaelekea Uganda kusikiliza makala ya mwanamke anayeeleza shida wanazopata baada ya hatua kadhaa za seikali katika kupambana na COVID-19.

 

Audio Credit
Flora Nducha
Sauti
11'58"