Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

08 JUNI 2020

08 JUNI 2020

Pakua
Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo Ikiwa ni siku ya bahari duniani 
-Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema janga la virusi vya Corona au COVID-19 ni kumbusho kwamba binadamu wote wanahusiana wenyewe lakini pia na asili.
-Nyongeza dola milioni 40 kusaidia DRC kukabili dharura ikiwemo Ebola
-FAO yasema Udhibiti wa uvuvi ni muhimu ni wakati wa kutumia kila kona
-Na kwenye Makala leo tutasikia kutoka kwa mwanamazingira kuangazia kwa undani vichocheo vya mafuriko ambayo tayari yamesababisha maelfu kwa maelfu kukosa makazi na kupoteza mali nchiniUganda
-Na kwenya mashinani  tutasikia  harakati za UNESCO za kuelimisha mbinu za kujikinga na COVID-19 kwa lugha ya ishara!
 

 
Audio Duration
12'4"