Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

05 JUNE 2020

05 JUNE 2020

Pakua
Jaridani la Umoja wa Maitafa leo ikiwa Ijumaa ni mada kwa kina ambapo tutamulika athari za gonjwa la virusi vya Corona katika kulinda wanyama walio hatarini kutoweka.
- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa asema tubadili tabia tulinde mazingira kwani muda unayoyoma
-  Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa leo imesema takribani watu 1,300 ambao ni raia wameuawa katika matukio tofauti nchini DRC. 
- Na shirika la Uhamiaji la Umoja wa Mataifa, IOM limesaidia raia 179 wa Mali waliokuwa wamekwama Niger.
-Na leo kwenye neno la wiki tutajifunza maana ya methali DUNIA MTI MKAVU UKIIELEMEA ITAKUBWAGA"

 

Audio Credit
Flora Nducha/Loise Wairimu
Audio Duration
9'57"