Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

02 June 2020

02 June 2020

Pakua

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo:

-Wahisani wa kimataifa wanakutana leo katika mkutano ulioitishwa na Ufalme wa Saudi ana Umoja wa Mataifa ili kuchangisha fedha kwa ajili hatua za kibinadamu kunusuru Maisha ya mamilioni ya watu nchini Yemen.

-Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu kwenye Umoja wa Mataifa, Michelle Bachelet ametaka hatua za dharura zichukuliwe ili kukabilia na ubaguzi katika utoaji wa huduma dhidi ya ugonjwa wa virusi vya Corona.

-kifaa maalumu cha kujifunza sayansi kwa vitendo pasi na  uwepo wa Mwalimu kilichobuniwa na vijana wanane nchini Tanzania.

-Kwenye Makala tusikia baadhi ya wakimbizi nchini humo wanasemaje kuhusu shughuli za walinda amani wanawake.

-Kwenye Mashinani  tutakwenda Johannesburg, Afrika Kusini kuangazia  changamoto za ukosefu wa maji  hasa wakati huu wa janga la Corona 

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
12'55"