Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

01 June 2020

01 June 2020

Pakua

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo

-WHO ya sema huduma za kinga na tiba dhidi ya magonjwa yasiyo ya kuambukiza, zimevurugwa kwa kiasi kikubwa tangu kulipuka kwa ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19.

-Nchini Colombia katika mpaka na Venezuela UNHCR linashirikiana na wadau kutoka huduma za tiba na ushauri nasaha kwa mamia ya watu walioathirika na virusi vya Corona au COVID-19  na huduma zingine.

-Kampuni ya Deutsche Bahn Ujerumani yatimiza ndoto ya mkimbizi wa Syria.

-Na kwenye makala  leo tutaelekea nchini Uganda kusikia baadhi ya wakimbizi nchini humo wanasemaje kuhusu shughuli za walinda amani.

-Na kwenye Mashinani leo tunaenda DRC kuangazia harakati za Umoja wa Mataifa kunusuru watoto wanaoishi katika mazingira magumu.

Audio Duration
12'57"