Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

28 Mei 2020

28 Mei 2020

Pakua

-Leo katika Jarida la Umoja wa Mataifa :

-Shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM  la sema tushikamane kuchangia na kuwanusuru Wasyria na  coronavirus">COVID-19

- Kuelekea siku ya walinda amani duniani kesho Mei 29, tunamulika askari wanawake wa Tanzania.

-  Kutana na sajenti Desta anayesifika kwa kutengeneza magari ya UNMISS, Sudan Kusini

- Na kwenye Mashinani leo  tutakwenda nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kusikia jinsi  mchungaji mwanaume  alivyotumikishwa kingono na wanamgambo wanawake.

-Na kwenye makala leo tuamsikia mwanamuziki Kala Jeremiah wa Tanzania kwa maneno yake mwenyewe anaelezea kwa kina kuhusu wimbo wake alioutoa hivi karibuni mahususi kuelimisha jamii kujikinga na virusi vya corona.

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
13'21"