Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mvumbuzi kijana atengeneza kifaa cha kuzuia matumizi ya simu yasiyoruhusiwa shuleni

Mvumbuzi kijana atengeneza kifaa cha kuzuia matumizi ya simu yasiyoruhusiwa shuleni

Pakua

Lengo namba 9 la maendeleo endelevu ya Umoja wa Mataifa, SDGs ifikapo 2030 Iinahimiza  juu ya uwepo wa miundombinu bora,viwanda endelevu  na uvumbuzi. Katika kuhakikisha lengo hili linatekelezeka,kijana Boris Maximilian Masesa wa nchini Tanzania amevumbua kifaa maalum kinachoweza kunasa mawasiliano ya simu kwa ajili ya kuwasaidia walimu kuwabaini wanafunzi wanaotumia simu bila ruhusa. Ifuatayo ni makala iliyoandaliwa na  Nyota Simba na kusimuliwa na Evarist Mapesa kutoka Redio washirika SAUT FM iliyopo jijini Mwanza Tanzania.

Audio Credit
Evarist Mapesa
Audio Duration
3'49"
Photo Credit
UN